.

.

.

.

Wednesday, February 08, 2012

DK. MWINYI ATIA SAINI .............


Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Hussein Mwinyi (katikati),Waziri wa Ulinzi wa Msumbiji, Fillippe Jacinto Nyarusi (kushoto) na Waziri wa Ulinzi wa Afrika Kusini, Lindiwe Sisulu wakiweka saini mkataba wa Makubaliano ya Mapambano dhidi ya Uhalifu katika bahari za nchi hizo Ikulu, Dar es Salaam Jumanne. Wanaoshuhudia ni Rais Jakaya Kikwete na Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal. (Picha na Fadhili Akida).

No comments:

Post a Comment