.

.

.

.

Thursday, May 10, 2012

KITABU CHA MAPISHI YA KITANZANIA KIKO NJIANI .........


Muonekano wa kitabu cha mapishi cha"A Taste of Tanzania".

Cover ame-Design Mwenyewe na Picha amepiga mwenyewe.Kitabu kitatoka hivi karibuni.

Ataweka wazi jinsi gani unaweza kupata Kitabu hivi karibuni.Ukiingia pale kwake kuna sehemu ya mawasiliano,Unaweza kuwasiliana nae Zaidi kupitia http://www.tasteoftanzania.com

No comments:

Post a Comment