.

.

.

.

Monday, May 28, 2012

UZINDUZI WA FILAMU YA TOBA KISIWANI ZANZIBAR Mgeni rasmi katika uzinduzi wa filamu ya TOBA Makamu wa kwanza wa Raisi wa Zanzibar Mh Maalim Seif Sharif Hamad akiwa na Msanii Cloud ndani ya Hotel ya Bwawani kabla ya uzinduzi wa Filamu ya TOBA,Mamia ya wananchi wa Zanzibar na Viongozi wa serikali na Wasanii kutoka Bongo Movie walihudhuria uzinduzi huo uliofana sana na uliosindikizwa na madarasa kadhaa za visiwani humo

 Burudani ya Madrasa ndizo zilizotawala katika uzinduzi huo

 Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar akiingia ndani ya ukumbi wa Bwawani Hotel

 Ray akifuatilia uzinduzi huo katika vazi nadhifu kabisa la kanzu

 Nikiwa na wasanii wenzangu tukifuatilia uzinduzi huo
Bajomba

 Katika vazi nadhifu kabisa

 Mama Rolaa mmoja wa wadau wakubwa sana wa filamu nchini naye alikuwepo kuhudhuria Filamu hiyo ya TOBA

 Huyo ni Irene Uwoya hakika tulipendeza

 Mwenyekiti wa Bongo Movie JB akitoa hotuba fupi katika uzinduzi huo

 Mh Makamu wa Rais wa kwanza Maalimu Seif Sharif Hamad akifuatilia filamu ya TOBA

 Burudani ikiendelea

 Wahudumu ndani ya ukumbi

 Steven Nyerere akifuatilia kwa makini

 Wema Sepetu akiwa kapendeza

 KWA HISANI YA TANZANIA ONE BLOG

No comments:

Post a Comment