.

.

.

.

Tuesday, June 12, 2012

LULU MICHAEL ARUDISHWA RUMANDE‘Lulu’ akishuka katika basi la magereza.
Mtuhumiwa wa kesi ya mauaji ya aliyekuwa msanii maarufu wa filamu za Bongo Steve Kanumba, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akisindikizwa na askari magereza kutoka katika jengo la mahakama Kuu kwenda mahakama kuu ya biashara.
‘Lulu’ akiwa ndani ya mahakama.
‘Lulu akiteta jambo na wakili wake muda mfupi baada ya kufika mahakamani.
Akitoka mahakamani baada ya kesi yake kusogezwa hadi tarehe 25 mwezi huu, ambapo watetezi wa ‘Lulu’ wametakiwa kuwasilisha vielelezo vyenye uthibitisho wa umri wake ifikapo tarehe 13 mwezi huu, wakati upande wa serikali wameomba kuwasilisha vielelezo vyao tarehe 22 mwezi huu ili kumaliza tatizo la utata kuhusu umri wa mtuhumiwa huyo.
‘Full Ulinzi ndani ya mahakama’ wakati kesi ya ‘Lulu’ ikisikilizwa.
Elizabeth Michael ‘Lulu’ akipanda basi la magereza baada ya kesi yake.
Ulinzi ulikuwa ni wa uhakika eneo lote nda na nje ya mahakama kuu wakati wa kesi hiyo. Picha/Mo Blog


KWA HISANI YA KAJUNASON

2 comments:

  1. Samahanini watanzania wenzangu nyie mwishio tanzania et ulinzi huu Lulu asidhuriwe na mtu au asitoroke au nini ? jibu sina . wangeona kijana wa ki Norwe aloua mamia ya vijana tena kwa makusudio aloyapanga hajatiwa stress kama Lulu mdogo wangu Sheria itendeke asiteseke segerea akazeekea hapo. Hakukusudia ni ajali tu . Wanaotakiwa kuteseka Jela ni WAUZAJI WA MADAWA YA KULEVYA wanawatesa watoto weng kwa kuwauzia hao ndo wauaji kuliko alouwa kwa bahati mbaya

    ReplyDelete
  2. Am am so shocked by how Tanzanian Govt is treating the case of this young Lady Lulu. Why is that so? is it because the deceased was a super star or what? We all know and came to believe that whatever happened was an accident, Lulu never intended to kill the star...why cant the Tanzania Law accept that the incident happened while she was 17 and that she has a right to be prosecuted at the children's court? its so sad to see that young gal mixed up with super-criminals while she is not a criminal...... IT HAPPENED ACCIDENTALLY, if God forgives and understands, why cant human beings do the same?....Guyz, you need to come out and fight for the rights of this young lady... we all loved and appreciate the late Kanumba's work but whats happening with this young lady LULU is not justice....

    ReplyDelete