.

.

.

.

Wednesday, November 14, 2012

VIGOGO WAKUU WA CCM WATANGAZWA NA MH. RAIS KIKWETE


Abdulrahman Kinana-Katibu Mkuu.
Mwigulu Nchemba-Naibu Katibu Mkuu, Bara.
 Vuai Ali Vuai-Naibu Katibu Mkuu-Zanzibar.
Asha-Rose Migiro-Siasa na Uhusiano wa Kimataifa.
Nape Nnauye-Katibu Mwenezi
Zakia Meghji-Uchumi na Fedha.
---
Sekretarieti hii imetangazwa leo mjini Dodoma, na Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete baada ya uteuzi wake kuidhinishwa na Kikao Cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) kilichokutana kwa mara ya kwanza mjini Dodoma. tangu uchaguzi mkuu wa CCm ufanyike.

No comments:

Post a Comment