.

.

.

.

Friday, March 22, 2013

UJIO WA BIA YA TUSKER LITE JIJINI ARUSHAWakazi wa jiji la Arusha wakifurahia ujio wa bia ya Tusker Lite katika hafla ya uzinduzi wa bia hiyo uliofanyika katika Hoteli ya Kibo Palace jijini Arusha usiku wa ijumaa. Bia hiyo ya Tusker lite sasa imeanza kupatikana pia katika mikoa mingine ya Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya, Tanga na Moshi.


Mwanamuziki wa Bendi ya Vibration ya jijini Arusha akiwaongoza mabalozi wa bia ya Tusker Lite kucheza pamoja na wadau wa jijini Arusha katika hafla hafla ya uzinduzi wa bia hiyo uliofanyika katika Hoteli ya Kibo Palace jijini Arusha usiku wa ijumaa.
Meneja wa bia ya Tusker Lite Bi. Anitha Msangi kielezea wadau jinsi bia ya Tusker Lite ilivyotengenezwa kwa vimelea asili na yenye wanga kidogo sana katika hafla ya uzinduzi wa bia hiyo.

Nyaki ambaye ni meneja mauzo kanda ya kaskazini akimtambulisha msambazaji mkubwa wa bia za Serengeti kanda ya kaskazini
Meneja wa bia ya Tusker Lite Bi. Anitha Msangi (mwenye gauni nyeusi) akiwa amepozi pamoja na wasanii wa jijini Arusha Nakaaya Sumari kushoto kwake na Peter kutoka Arusha na kushoto kwake ni Peter Ngassa mdau kutoka Dar Es Salaam katika hafla ya ya uzinduzi wa bia hiyo.

No comments:

Post a Comment