.

.

.

.

Saturday, November 09, 2013

USIKU WA KANGA WAFANA

 Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi Cheti Miss Tanzania 2012,Brigitte Alfred, kwa kutambua mchango wake katika kufanikisha sherehe za Usiku wa Khanga, zilizofanyika jana usiku Novemba 8, 2013 katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.Katikati ni Mratibu wa Hafla hiyo,Asia Idarus.
 Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi Cheti mwakilishi wa Micuzi Media Group, Othman Michuzi, kwa kutambua mchango wake katika kufanikisha sherehe za Usiku wa Khanga, zilizofanyika jana usiku katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.Katikati ni Mratibu wa Hafla hiyo,Asia Idarus. 
 Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi Cheti Mkurigenzi wa Gazeti la Jambo Leo,Benny Kisaka, kwa kutambua mchango wake katika kufanikisha sherehe za Usiku wa Khanga, zilizofanyika jana usiku katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.Katikati ni Mratibu wa Hafla hiyo,Asia Idarus. KUSOMA ZAIDI BOFYA READ MORE
 Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi Cheti Mratibu wa Hafla ya Usiku wa Khanga za kale,Asia Idarus, kwa kufanikisha sherehe za Usiku wa Khanga, zilizofanyika jana usiku katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. 
 Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi Cheti Mkurugenzi wa bendi ya Mashauzi Classic, Aisha Ramadhan, kwa kutambua mchango wake katika kufanikisha sherehe za Usiku wa Khanga, zilizofanyika jana usiku katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
 Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akijumuika na baadhi ya kinamama kusherehesha sherehe za Usiku wa Khanga, zilizofanyika jana usiku katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, kwa kucheza miondoko ya Taarab kutoka kwa mwanadada Aisha Mashauzi aliyekuwa akitoa burudani wakati wa sherehe hizo. 
 Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akijumuika na baadhi ya kinamama kusherehesha sherehe za Usiku wa Khanga, zilizofanyika jana usiku katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, kwa kucheza miondoko ya Taarab kutoka kwa mwanadada Aisha Mashauzi aliyekuwa akitoa burudani wakati wa sherehe hizo. 
 Sehemu ya wageni waalikwa waliohudhuria sherehe hiyo ya Usiku wa Khanga za Kale.
 Sehemu ya wageni waalikwa waliohudhuria sherehe hiyo ya Usiku wa Khanga za Kale.
 Sehemu ya kinadada na kinamama waliohudhuria sherehe hiyo ya Usiku wa Khanga za Kale.
 Mratibu wa Usiku wa Khanga za Kale,Asia Idarus,akipita jukwaani na mwanamitindo wake aliyevalia moja kati ya mavazi yake aliyokuwa akizindua wakati wa hafla hiyo.
 Mwanamitindo,akipita jukwaani na vazi la Asia Idarusi.
 Mwanamitindo Bibi Bomba wa 2013, ....akipita jukwaani kwa mbwembwe akiwa amevalia vazi la Asia Idarus.

No comments:

Post a Comment