.

.

.

.

Thursday, December 26, 2013

LIGI KUU HAPA UINGEREZA KUENDELEA LEO

Ligi kuu England inaingia kwenye patashika kipindi kigumu cha na muhimu mechi kupigwa mfululizo kwa Timu zote kucheza Mechi 3 ndani ya Siku 5 kuanzia Desemba 26, Boksing Dei, hadi Januari Mosi huku Vinara wa Ligi, Liverpool, wakianza kuivaa Man City Desemba 26 huko Etihad na kufuatia safari ya Stamford Bridge kucheza na Chelsea Desemba 29.



Liverpool wapo kileleni, wakiwa na Pointi 36 sawa na Arsenal, ila wao wako juu kwa ubora wa Magoli, lakini kuanzia wao hadi Nafasi ya 5 zinatenganishwa na Pointi 2 tu. 
Mabingwa Watetezi, Man United, wao wako Nafasi ya 8 wakiwa Pointi 8 nyuma ya Liverpool.




Ligi itaendelea tena leo Desemba 26 wakati Timu zote 20 zitakaposhuka dimbani na kisha kucheza Mechi nyingine Desemba 28 na 29 na pia kutinga tena hapo Januari Mosi kwa Timu zote 20 kucheza.


LIGI KUU KUU ENGLAND
Alhamisi Desemba 26
15:45 Hull V Man United
18:00 Aston Villa V Crystal Palace
18:00 Cardiff V Southampton
18:00 Chelsea V Swansea
18:00 Everton V Sunderland
18:00 Newcastle V Stoke
18:00 Norwich V Fulham
18:00 Tottenham V West Brom
18:00 West Ham V Arsenal
20:30 Man City V Liverpool
Jumamosi Desemba 28
West Ham V West Brom
18:00 Aston Villa V Swansea
18:00 Hull V Fulham
18:00 Man City V Crystal Palace
18:00 Norwich V Man United
20:30 Cardiff V Sunderland
Jumapili Desemba 29
16:30 Everton V Southampton
16:30 Newcastle V Arsenal
19:00 Chelsea V Liverpool
19:00 Tottenham V Stoke
Jumatano Januari 1
15:45 Swansea V Man City
18:00 Arsenal V Cardiff
18:00 Crystal Palace V Norwich
18:00 Fulham V West Ham
18:00 Liverpool V Hull
18:00 Southampton V Chelsea
18:00 Stoke V Everton
18:00 Sunderland V Aston Villa
18:00 West Brom V Newcastle
20:30 Man United V Tottenham

1 comment: