.

.

.

.

Tuesday, January 28, 2014

Q HAMMER NA MKEWE

HAWA ni waimbaji nyota wa nyimbo za muziki wa taarab, Hammer Q na Salha. Kuna wakati walikuwa kundi moja la Dar Modern Taarab. Baadaye Hammer Q alihama na kwenda Five Stars Modern Taarab. Walifunga ndoa mwaka jana. Kumbe walianza mapenzi tangu zamani kabla ya Salha kuolewa. Alipoachika wakaamua kukumbusha ya zamani, lakini si kwa kuibia bali kufunga ndoa.

No comments:

Post a Comment