.

.

.

.

Tuesday, January 28, 2014

SHUKURANI


Ndugu Max Edmund Kafipa wa Ununio Bahari Beach jijini Dar es Salaam anapenda kutoa shukrani kwa ndugu, jamaa, marafiki wote na wakazi wa Ununio walioshirikiana nae katika msiba hadi mazishi ya mke wake mpendwa  Sophia Uledi Kafipa (pichani) aliyefariki dunia kwa ajali ya gari tarehe 10/01/2014 na kuzikwa tarehe 13/01/2014 kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar.

Bwana ametoa Bwana ametwaa jina la Mungu lihimidiwe.

Amen

No comments:

Post a Comment