Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba ndege imeanguka ikiwa katika hatua za mwisho za kutua katika kiwanja cha ndege cha arusha.
Taarifa zinasema kuwa ndege hiyo ilikuwa na rubani pekee anayejulikana kama Babu Sambeke aliyekuwa anatokea West Kilimanjaro.
Taarifa zaidi zinasema kuwa rubani huyo amefariki muda mfupi baada ya ajali hiyo kutoke na mwili wake umekimbizwa hospitali ya Mount Meru ...
Maelezo zaidi kuhusu ajali hiyo ni kwamba ndege hiyo ilijaribu kutua baada ya masaa ya kawaida ya kufunga kiwanja(saa 12.30jioni) kupita.
Mungu ailaze mahali pema roho ya marehemu
Watanzania hata muende ulaya ni waongo na wazushi.
ReplyDelete1. Babu Sambeke au Ernest Mallya ni rubani yeye mwenyewe na anamiliki ndege zake.
2. Jamal Babu Sambeke ni mtoto wake ambaye ni Rubani mwanafunzi na mwajiriwa wa JWTZ.
3. Wakati wa ajali hakuwa na mwanae.
Muwe makini sana mnapoandika habari ambazo hamjafanyia uchunguzi kwani uongo wenu unaumiza sana wafiwa
NDUGU ZNGU WATANZANIA NA WAPENDA AMANI NAOMBA NIMSAHIHISHE MWANDISHI WA HABARI HII YA MSIBA WA BABU SAMBEKE. SIO KWELI KAMA ALIVYORIPOTI SENTESI YA MWANZO KWA KUTAJA JINA LA RUBANI PEKEE JAMAL. JAMAL SB (NI RUBANI AFISA WA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA MTOTO WA MIAKA 24 AMBAYE NI CAPTENI KWA CHEO CHA KIJESHI)NI MTOTO PEKEE WA BABU SAMBEKE AMBAYE NI RUBANI KATI YA WATOTO WA BABU SAMBEKE. ALIEFARIKI KATIKA AJALI YANDEGE HIYO NDOGO NI MWENYEWE BABU SAMBEKE ALIEKUWA PIA RUBANI ANAENDESHA NDEGE ZAKE KAMA TAJIRI ALIEAMUA KUTOTUMIA VOGUE N.K AKAWA USAFIRI WAKE NI NDEGE NDOGO KWA SAFARI ZAKE ZOTE FUPI NA NDEFU ALITUMIA GARI PALE TU ANAPOKWENDA KIWANJANI, NDEGE HIZO ANAZOMILIKI NI NDEGE NDOGO AMBAZO HUTUA KATIKA VIWANJA VIDOGODOGO KAMA CHA MOSHI MJINI.
ReplyDeleteHIVYO ALIEFARIKI NI BABU SAMBEKE MWENYEWE TAJIR WA DUNIANI NA MWANAE JAMAL SB YUPO NA ANAENDELEA KULITUMIKIA TAIFA LA TANZNIA.
HAMIS BORA