.

.

.

.

Wednesday, August 27, 2014

RAIS JK ASEMA ..............

Rais Jakaya Kikwete amesema serikali inakusudia kufuta karo kwa wanafunzi wa shule za sekondari  za serikali, ili kutoa fursa kwa watoto kusoma bure kuanzia elimu ya msingi, ikiwa ni jitihada za kuinua elimu na kuwapunguzia mzigo wazazi.

“Zipo sababu za msingi zinazosababisha wanafunzi wengi wa shule za sekondari kukatisha masomo yao, ikiwamo wazazi wao kushindwa kulipia karo za shule kutokana na changamoto mbalimbali zikiwamo za umasikini” alisema.  
Rais Kikwete alisema kufutwa kwa ada hiyo utekelezaji wake upo mbioni ili kuhakikisha kila mtoto anapata elimu bure,  hatua ambayo itasaidia kuinua kiwango cha elimu nchini.

1 comment:

  1. Kimaadili mtoto aliyechini ya umri wa miaka 18 akifanyiwa kitendo cha ukatili jina lake linahifadhiwa. Sasa inashangaza mtu aliyefanya ukatili huo mwandishi kaficha jina lake lakini majina ya watoto ameyaweka hadharani. Huko ni kuwadhalilisha watoto na kuwafanya wanyooshewe vidole kila wanapopita, itawaathiri katika maisha yao yote.

    ReplyDelete