.

.

.

.

Tuesday, May 28, 2013

MSANII ALBERT MANGWEA AFARIKI DUNIA


Msanii wa siku nyingi wa muziki wa bongo fleva nchini Tanzania Albert Mangwea al maarufu kama Ngwea amefariki dunia nchini Afrika Kusini.
Msanii huyo amewika sana katika anga za muziki huo ukiwemo wimbo mitungi, mikasi na nyingizo alizoshirikiana na wasanii wenzake.
Atakumbukwa sana na makundi kadhaa ya kisanii na wapenda muziki wote wa bongo kwa ushirikiano na uwezo wake wa kuandika mistari na kucha verse.
Mungu Ailaze Roho Yake Mahali Pema Peponi!

2 comments:

  1. Kwani alikuwa anaumwa au..? Tupe habari kamili tujue..

    ReplyDelete
  2. P.I.P NGWAIR EAST ZOO GONNA MISS YOU...PHILOSOPHER

    ReplyDelete