.

.

.

.

Thursday, September 11, 2014

SHERIA NGOWI NDANI YA IKULU

 Rais Jakaya Kikwete akipitia baadhi ya sample za vitambaa vya nguo vinavyotumiwa na mbunifu wa mavazi wa kimataifa Sheria Ngowi (kulia)IKULU Jijini Dar es Salaam ,Kushoto ni Makamu wa Rais wa Sheria Ngowi Brand Haki Ngowi.

Rais Jakaya Kikwete akijadiliana na Ujumbe Maalum Ukiongozwa na Mbunifu wa mavazi wa kimataifa Sheria Ngowi (wa kwanza Kulia)ikulu jijini Dar es Salaam 
Rais Jakata Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe Maalum Kutoka Sheria Ngowi Brand Ukiongozwa na Mbunifu wa mavazi wa kimataifa Sheria Ngowi (wa pili kushoto) Makamu wa Rais wa Sheria Ngowi Brand Haki Ngowi(wa pili Kulia)Mkuu wa Kitendo cha Biashara na Matangazo Deo Kessy (wa kwanza kushoto) na Kiongozi wa idara ya habari kutoka Sheria Ngowi Brand Atunza Nkrulu(wa kwanza Kulia).

Picha na Freddy Maro -IKULU

No comments:

Post a Comment