.

.

.

.

Friday, June 05, 2015

LOWASSA MKOANI MWANZA LEO

 Waziri Mkuu wa Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa akiwa na viongozi wa Chama cha Mapinduzi mkoani Mwanza leo alipowasili kutafuta wadhamini wa kusaini fomu zake za kutaka ateule na CCM kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
 Umati mkubwa wa wananchi ulifurika katika Wilaya za Nyamagana na Ilemela hii leo kumdhamini mgombea huyo.
 Lowassa akisalimia wananchi

No comments:

Post a Comment