.

.

.

.

Friday, March 18, 2016

RE-UNION YA KIBOSHO GIRLS

KAMATI YA MAANDALIZI YA WALIOSOMA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA KIBOSHO INAYO FURAHA KUWAALIKA WAKINA MAMA NA KINA DADA WOTE AMBAO WAMESOMA ENZI ZA UHAI WA SISTER/MOTHER CONSOLATA SHAYO, KATIKA KIKAO CHA KUANDAA RE-UNION.
KIKAO HICHO CHA MAANDALIZI KITAFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI YA TAREHE 02.04.2016 KATIKA HOTELI YA  MIKOCHENI RESORT CENTRE ( MRC )ILIOPO NYUMA YA SHOPPERS PLAZA MIKOCHENI . USIKIAPO TAARIFA HIZI TAFADHALI MJULISHE NA MWINGINE

No comments:

Post a Comment