Miss Universe namba mbili 2008, Jamillah Nyangasa (kulia) na Miss Earth 2008, Miriam Ondemba wakifurahi pamoja na Mweka Hazina wa Chama cha Maalbino nchini, Abdillah Omar mara baada ya mrembo huyo kuwaonyesha waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Ijumaa, CD yenye tangazo alilolitengeneza kwa ajili ya kupiga vita mauaji ya Maalbino.
No comments:
Post a Comment