.

.

.

.

Friday, May 07, 2021

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA WAZEE WA DAR ES SALAAM

Na Said Mwishehe, Michuzi TV RAIS wa Awamu ya Sita wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewahakikishia wazee wote nchini kwamba masuala yote yanayohusu wazee yatashughulikiwa kwa nguvu zote ikiwemo ya kutatua changamoto zinazowakabili. Akizungumza leo mbele ya wazee hao wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa niaba ya wazee wa nchi nzima, Rais Samia ametumia nafasi hiyo kufafanua mambo yanayohusu wazee kwa kina huku akiahidi yote ambayo yamezungumzwa na wazee hao kwenye risala yao ni ya msingi na lazima yafanywie kazi kadri itakavyooekana inafaa. Rais Samia amesema kuna mambo amboyo ya kisera kuhusu wazee ambayo amewahakikishia katika maboresho ya sera yanaendelea kufanywa kwa sasa na watatumia nafasi hiyo kuangalia sera zinazohusu wazee ili ziweze kuboreshwa na kuwa na tija. "Haya ambayo mmesema wazee wetu nayo watatupia macho, shida ambazo mnazipata na wigo wa kupanua matibabu tunakwenda kufanyia kazi, lakini niseme si mara ya kwanza kusikia, mikoani huko wazee wanalalamikia haya haya, na ukisikia mtu mzima analia ujue kuna jambo, hivyo tutafanyia kazi. "Suala lingine ambalo mmelizungumza ni kuhusu afya ya wazee, na hili la afya kwa wazee limezungumzwa vizuri kwenye Ilani ya Chama Cha Mapinduzi, hivyo kwa vyovyote vile sina jinsi ya kulikimbia, tutashughulikia masuala yote ya afya ya wazee. "Na hapa natoa maagizo kwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia ,Wazee na Watoto akasimamie haya leo na si kesho.Tunatambua dunia iko kwenye janga la Corona na wanaoathirika zaidi ni wazee, hivyo nataka nitoe taarifa kwa wazee, Kamati ambayo nimeiunda itatoa taarifa. "Hivyo yale yote ambayo yanasababisha wazee kuwa hatarini zaidi tutahakikisha tunayafanyia kazi, na tutawalinda, na tutawaelekeza wazee namna ya kujilinda.Masuala yote yanayohusu wazee tutayaweka vizuri, ,"amesema Rais Samia. Amesisitiza," Sisi wote ni wazee na mimi nimeingia kwenye umri wa uzee, hivyo lazima tuweke mambo haya vizuri, ili nami yasije kunikuta.Kwa hiyo na mimi itabidi nirekebishe masuala ya wazee mapema ili nikija huko nikute mambo yako vizuri". Aidha kwenye eneo la uchumi , Rais Samia amesema anakubaliana na wazee lakini kama alivyotangulia kueleza Waziri wa Afya Dk.Doroth Gwajima watangalia namna ya kushughulikia."Kupitia mfuko wa TASAF tumekuwa tukisaidia kaya masikini, na hivyo tunaangalia uwezekano wa wazee wote kuingia kwenye mfuko huo. "Na tunandaa mfuko mwingine unaofaa na huo ambao wazee wataingia humo.Pia kuna wazee ambao wamelitumikia Taifa na serikali imekuwa inatoa pensheni kwa ajili yao, lakini kuna hili ambalo limezungumzwa la pensheni kwa wote. "Serikali ilijadili hili lakini tukaona utekelezaji wake ni mgumu, kulingana na bajeti ya Serikali, wazee wako karibu milioni 2.5, hivyo tuliamua kuanza na wazee wenye umri wa miaka 70, na kwa hali ilivyo sasa uchumi umeshuka.Uchumi wa Tanzania umeshuka kutoka asilimia saba wa ukuaji hadi asilimia tano. "Na tuna miradi mikubwa ambayo tunaendelea nayo , hivvyo naomba niseme hili la pensheni kwa wote tuliache kwanza ili tumalizie miradi tuliyonayo, tunatamani tutoe hata Sh.30,000,lakini hatutaweza.Watumishi wa umma hajapandishiwa mshara kwa miaka mitano tano sasa,"amesema Rais Samia. Kuhusu uwakilishi wa wazee katika Baraza la Madiwani na Bungeni hilo ni muhimu kuwa na wazee kwenye vyombo vya hivyo ili kuwa na uwakilishi wao."Hata hivyo kwa kutambua yote haya kuna fursa ambazo tumezitoa kwa wazee. "Nipongeze Chama changu cha CCM wazee wametambuliwa na wapo kwenye mfumo. Hata hivyo nafasi ya wazee iko kwenye umoja wa wazazi hivyo ni vema wakashikamana na jumuiya ya wazazi lakini huko mbele ya safari tutaona namna ya kufanya ili wazee wawemo,"amesema Rais Samia. CREDIT: Michuzi blog

Friday, January 11, 2019

AIR TANZANIA MAKING HISTORY AGAIN

By Special Aviation Correspondent, Montreal, 10-01-2019: TANZANIA is about to make history again, when its national airline, Air Tanzania, debuts the second Airbus 220 in a grand plan to consolidate its fleet, intensifying competition in the regional aviation business. Air Tanzania, continues to keep East Africans’ heads up. It is a growing airline that operates all new aircraft, solidifying its positioning deep in the pristine African skies. Air Tanzania is the only African airline on the continent that flies Airbus’ newest product, A220 series. Aviation business experts sees an end to the dominance of giant airlines in the region. This January 2019, hardly a month since the Air Tanzania became the first African airliner to introduce the airbus 220 in African skies, Tanzania brings its sister aircraft, right from the manufacturer’s workshop in Mirabel in Montreal. Tanzania's newest Airbus, thanks to President Magufuli's devoted axctions Success Story In December last year, Tanzania became the first nation in Africa and the fifth in the world to fly Airbus 220 in an ambitious and comprehensive programme to consolidate its airline business. Three years on, Tanzania continue to witness rapid economic transformations in all key sectors of the economy. Business gurus would say, “it is the man on top.” This is correct, thanks to President John Pombe Magufuli who continues to introduce management efficiency in Tanzania, a new culture that transforms the continent right from Tanzania. Efficiency is the only credible way to deliver great results in both corporate world and in the running of governments. Tanzania and Africa are grappling with this challenge. Throughout his office tenure as Minister in three different ministries, Dr Magufuli is a proven performer and efficient administrator. Clearly, as in any corporate world, performance determines the future of the organization. Successful growth of the Tanzania’s flag carrier is, therefore, another pragmatic testament of Dr. Magufuli’s unbeatable record. Tanzania is the fifth fastest growing economy in Africa. It is also projected as the fourth fastest growing economy in the world for the next decade. Indeed this is a success story. Airbus 220 The A220 is unrivalled passenger comfort aircraft with remarkable performance. It makes a lot of economic sense to operate the aircraft profitably. It has a seating capacity of above 130. It is 38.7m long and 11.5m wide. The wings extend to 35.1m and flies 5,920km without refueling. The aircraft’s fuel tanks host 21,918 liters. The airbus, already tried in Tanzania, provides unmatched fuel efficiency and environmental performance with fewer emissions. The passengers would enjoy more freedom with wide and comfortable seats. “This aircraft makes an excellent asset to further develop Air Tanzania’s business network,” says Tito Kasambala, CEO for the Government’s Flight Agency. The plan works. Comparing to 2016 where the airliner had on only one aircraft with a market share of just 2.5 per cent, three years today, its market share has grown to hold 32 per cent. Investments and Performance The Government of Tanzania which owns the aircrafts and leases them out to Air Tanzania Corporation (ATC), has made significant investments in the past three years. The sister Airbus 220 to be delivered, brings Air Tanzania’s active fleet to six. The fleet comprises three propeller-driven Bombardier Dash-8s, a Boeing 787 Dreamliner, and the two Airbus 220. The Government of Tanzania has pressed another order for two more aircrafts. They are expected to bring the fleet to 8.The aircrafts are Bombardier Q400 and Boeing 787 Dreamliner. The two jets are expected to be delivered by 2020. The Airline business could not always be an end in itself. It could be the means to an end. All large economies in the world were complemented by their airlines. It is hard to do without. Apart from improving the tourism industry, one of key stable sources of revenues, the airline would boost trade and investments. Air Tanzania’s contribution to trade, business, investments, diplomacy and branding cannot be played down. The model is proven right. Air Tanzania’s revenues doubled in less than three years of operation. The service demand is huge and continues to grow. The number of passengers has increased tremendously. The airline flies 432,000 passengers per year up from 48,000 in 2015. “When we talk of Magufuli’s incredible performance, we do not blow things out of proportions. Plenty of evidence is all around for the world to verify. The new era most of us waited for too long is finally here,” says Rosemary John, a nursing practitioner. Air Tanzania resumes International Flights in 10 years Air Tanzania resumed international flights in September last year (2018), the first time in nearly 10 years. Air Tanzania now flies to Bujumbura, Entebbe and Moroni. President Magufuli, the brain behind these achievements, says more international routes (out of Africa) were in pipeline. They include Bombay (India), Bangkok (Thailand), Guangzhou (China), United Kingdom and others to be announced later. Tanzania is ready for Change to serious business “This is a clear testimony of our resolve as a people; that Tanzanians are capable of making things happen,” President Magufuli says. When sworn in office on 5 November 2012, Tanzania’s flag carrier, Air Tanzania, had only one aircraft with barely 50 seating capacity. Today, a number of active fleet is six and growing. Credit: ISSA MICHUZI

Wednesday, April 18, 2018

MSANII SHILOLE AKANUSHA KUVUJISHAVIDEO

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Shilole amefunguka kuhusu tuhuma za kuvujisha video ya utupu ya Nandy na Bill Nas, na kusema kwamba hahusiki na hajawahi kuona picha yoyote ya wawili hao wakiwa faragha. 

Shilole amesema post aliyoweka insta kuhusu kuwa na picha za faragha za wawili hao alikuwa anatania, lakini ukweli ni kwamba hana picha yoyote na hajawahi kuona picha yoyote kabla.

Akiendelea kutoa utetezi wake Shilole amesema hahusiki kwenye kuvujisha video hiyo, isipokuwa inawezekana kuna mtu alikuwa nayo akapata kisingizio baada ya Shilole kupost ili aonekane ni yeye aliyevujisha.

“Hamna kitu kama hicho, mimi nilileta mzaha na nilitania tu, ni kama vile unamwambia mtu tuone kama kesho utaamka, kesho mtu anakufa kweli unaonekana ndiye wewe, kumbe watu walikuwa na mambo yao tayari, lakini kiukweli sihusiki, sijawahi kuziona nimetania, hiyo ni mtu ametembea na link au mtu alikuwa anatafutia sababu”, amesema Shilole.

Hivi karibuni baada ya video ya utupu ya Nandy na Bill Nas kuvuja mtandaoni, watu wengi wamekuwa wakimtuhumu Shilole wakiamini ndiye kavujisha, baada ya kusema kwamba ana picha nyingi za faragha za wawili hao, kwenye ukurasa wake wa instagram.

Saturday, February 17, 2018

Papii Kocha - Waambie (Official Video)

MABALOZI WAPYA NIGERIA NA SWEDEN WAAPISHWA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza Mhe. Muhidin Mboweto kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam asubuhi jana Februari 16, 2018 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza Dkt. Wilbrod Slaa baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam asubuhi jana Februari 16, 2018

KATUNI YA LEO


Tuesday, January 30, 2018

MANCHESTER UNITED TOP 10 EARNERS

UNITED'S TOP 10 EARNERS

1. Alexis Sanchez - £450,000 a week
2. Paul Pogba - £260,000
3. Romelu Lukaku - £220,000
4. David de Gea - £200,000
5. Zlatan Ibrahimovic - £150,000
6. Juan Mata - £145,000
7. Nemanja Matic - £140,000
= Henrikh Mkhitaryan - £140,000
9. Marouane Fellaini - £120,000
10. Chris Smalling - £120,000
Paul Pogba is currently No 1 at Old Trafford after his wages soared following their qualification for the Champions League.
Pogba, who earned a basic wage of £165,000 in his first campaign back at United, has seen that rise to £200,000 after winning the Europa League.
With additional commercial rights revenue, the central midfielder is now on in the region of £260,000. That is without factoring in a loyalty bonus of just under £3.5m.
Romelu Lukaku comes in below that, while David de Gea's £200,000-a-week contract looks primed to be increased after Mourinho confirmed United will offer their goalkeeper fresh terms.
United have an option to extend De Gea's four-year contract, which runs out next year, by a further 12 months. But Mourinho wants the Spaniard around for far longer.
'Mr Woodward is not on holiday – he barely has holidays – and of course he is going to try to give him a contract that keeps him here for much more than the option that, of course, we are going to execute,' Mourinho said last week.
Juan Mata is one whose future remains uncertain, with it revealed this week that United have yet to trigger an extension on an agreement which earns him in the region of £145,000 per week

KATUNI YA LEO


Friday, January 19, 2018

TASTE OF TANZANIA - MODERN SWAHILI RECIPES FOR THE WEST

 THE AUTHOR MISS MIRIAM ROSE KINUNDA

This cookbook brings a unique perspective to East African and Swahili cooking. It is a colorful, well arranged book that combines a simple step by step method for arriving at delicious dishes of the East African region. This book is by far the most comprehensive compilation of Swahili recipes presented in a contemporary appealing format.

This one of a kind and interesting book compiles and explains the cuisine of the well-known Swahili culture, which spans over six Africans countries including Tanzania, Kenya, Congo, Rwanda, Swahili and Burundi. A fascinating thing this book does is to explore the interconnectedness of humanity through food. Arab and Indian influences on Swahili cuisine are mentioned and thus enriching our knowledge as well raising new questions that beg for further academic inquiries.

Thus many people around the world think Swahili is a Language, this book would allow people to see that Swahili is also a culture of delicious and simple recipes that calls for fresh ingredients.


The recipes inside calls for freshest ingredients thus suit every person regardless religion, age vegetarian, people who choose to eat organic food.
a.     Organic food lovers can have a choice of buying their ingredients from organic food stores
b.     Vegetarians will find this book useful in expanding the choice of food we eat; lot of vegetarian recipes.
c.     Sweets and snacks for the little ones to enjoy.
d.     Muslims will enjoy the book, they do not have to worry about Halal ingredients since all recipes call for fresh ingredients, and thus they have a choice on where to buy their ingredients. There is only one recipes call for pork; which can be skipped.


Wednesday, October 18, 2017

Cristiano Ronaldo Is The Richest Sports Personality In The World


Cristiano Ronaldo is the richest sports personality in the world, according to the latest Forbes' Rich List. 
The Real Madrid striker has earned an incredible £70million in the last year, along with picking up another Champions League medal and becoming the inaugural winner of The Best FIFA Men's Player award.
In fact, such is the Portuguese star's wealth, he is only £1m short of being the most wealthy celebrity on the continent, with Harry Potter author JK Rowling earning £71m in that same period. 
Cristiano Ronaldo is the richest sports personality in Europe, according to Forbes' Rich List
Cristiano Ronaldo is the richest sports personality in Europe, according to Forbes' Rich List

FORBES RICH LIST 

1. Cristiano Ronaldo £70m
2. Lionel Messi £60m
3. Roger Federer £48m
4. Rory McIlroy £37m
5. Lewis Hamilton £34m
6. Sebastian Vettel £29m
7. Novak Djokovic £28.5m
8. Neymar £28m
9. Fernando Alonso £27.3m
10. Usain Bolt £25.9m 

Ronaldo is joined by just one Englishman on the list, with Formula One driver Lewis Hamilton sat in 11th place having earned £32m. 
And despite the money flowing through the Premier League, there is just one representative from England's top flight, with Zlatan Ibrahimovic sneaking into the top 20 thanks to his earnings of £24m.
Elsewhere on the list, Roger Federer comes in at No 5 having taken £48m in the last 12 months, while Sebastian Vettel is 14th on the list. 
 There is further British representation from Rory McIlroy, who is ninth with earnings of £37m, and Conor McGregor is equal 18th with Wales international Gareth Bale. 
The figures are calculated before taxes and fees are taken into account, with Forbes estimating the total worth.

Thursday, September 28, 2017

NEYMAR AND DAN ALVES

Neymar, Olivier Rousteing and Daniel Alves pose for the cameras at the Balmain show

Friday, September 15, 2017

ANOTHER TERROR ATTACK IN LONDON

At least 20 people are injured in Tube terror attack as home-made bucket bomb sends 'fireball flying down train carriage' amid reports of 'second device' and attacker is on the run

  • Scotland Yard have confirmed rush hour blast on District Line train at Parsons Green was terror attack
  • Bloodied and burned commuters 'ran for their lives' after explosion on London Underground this morning
  • Victims described how a 'wall of fire' flew through the carriage and crude bucket bomb was seen flaming 
  • Passengers were left with severe burns to their legs and faces - others were hurt by crush as people fled


Sunday, September 10, 2017

MKUTANO WA MAWAZIRI WA FEDHA WA NCHI ZA MASHARIKI NA KUSINI MWA AFRIKA KISIWANI ZANZIBARMkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Ayoub Mohammed Mohmoud akiwa na Waziri wa Fedha wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Philip I Mpango, Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dkt, Khalid Salum na Afisa wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Seleh wakisubiri kumpokea Mgeni Rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, kufungua Mkutano wa Nchi za Mashariki na Kusini Mwa Afrika kuzungumzia udhibiti wa Utakatishaji wa Fedha Haramu na Ugaidi unaofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Ayoub Mohammed Mahmoud alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Zanzibar Beach Resort kufungua Mkutano wa Kimataifa wa kupiga Vita Utakasishaji wa Fedha Haramu katika Nchi za Mashariki na Kusini Mwa Africa unaofanyika Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Fedha na Mipango Tanzania Dkt. Philip I Mpango alipowasili katika viwanja vya hoteli ya Zanzibar Beachu Resort Mazizini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Fedha na Mipango wa Zanzibar Dkt.Khalid Salum Mohammed, alipowasili katika viwanja vya hoteli ya Zanzibar Beachu Resort Mazizini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Afisa wa Waziri ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Saleh, alipowasili katika viwanja vya hoteli ya Zanzibar Beachu Resort Mazizini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akiwa na viongozi wa meza kuu wakiwa wamesimama wakati ukipingwa wimbo wa Taifa baada ya kuingia katika ukumbi wa mkutano kufungua Mkutano wa Kupiga Vita Utasishaji wa Fedha Haramu na Ugaidi katika Nchi za Mashariki na Kusini Mwa Afrika uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar kulia Waziri wa Fedha wa Zimbambwe Hon. Patrick Chinamasa, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Waziri wa Fedha wa Lesotho Hon. Moeketsi Majoro kushoto Waziri wac Fedha na Mipango Tanzania Dr. Philip I Mpango , Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud. 
Ujumbe wa Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa wamesimama wakati wa kupigwa wimbo wa Taifa wa kwanza Waziri wa Sheria Katiba na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman, Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Dkt. Khalid Salum Mohammed na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud Mohammed.
Mawaziri wa Fedha wa Nchi Wanachama wa Taasisi ya Kupambana na Utakasishaji wa Fedha Haramu kutoka Nchi 18 za Mashariki na Kusini Mwa Afrika wakiwa wamesimama wakati wa kupigwa wimbo wa Taifa. 
Waziri wa Fedha Uchumi na Maendeleo wa Zimbabwe Hon. Patrick Chinamasa akitowa maelezo wakati wa Mkutano huo wa Mawaziri wa Fedha wa Nchi 18 za Mashariki Kusini Mwa Afrika wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 34th kupiga Vita Utakasishaji wa Fedha Haramu na Ugaidi, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.  
Waziri wa Fedha na Mipango Tanzania Dr. Philip I Mpango akitowa maelezo na kuzungumza kuhusiana na mkutano huo kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, kuufungua mkutano huo, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
Waziri wa Fedha na Mipango Tanzania Dr. Philip I Mpango akitowa maelezo na kuzungumza kuhusiana na mkutano huo kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, kuufungua mkutano huo, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Kupiga vita Utakasishaji wa Fedha Haramu na ugaidi katika Nchi za Mashariki na Kusini Mwa Afrika uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar. na kuhudhuriwa na Mawaziri wa Fedha wa Nchi 18 za Mashariki na Kusini Mwa Afrika uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Kupiga vita Utakasishaji wa Fedha Haramu na ugaidi katika Nchi za Mashariki na Kusini Mwa Afrika uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar. na kuhudhuriwa na Mawaziri wa Fedha wa Nchi 18 za Mashariki na Kusini Mwa Afrika uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
Wajumbe wa Mkutano huo wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk/ Ali Mohamed Shein, wakati akifungua mkutano huo wa Mawaziri wa Fedha.
Ujumbe wa Mawaziri wa Tanzania wakifuatlia Mkutaho huo wa ufunguzi wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein akihutubia.
Ujumbe wa Mawaziri wa Tanzania wakifuatlia Mkutaho huo wa ufunguzi wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein akihutubia.
Waziri wa Fedha wa Lesotho Hon. Moeketsi Majoro akitowa neno la shukrani baada ya ufunguzi wa mkutano huo uliofunguliwa na Rais wa Zanzibar Dk Shein, katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri wa Fedha wa Nchi za Mashariki na Kusini Mwa Afraka baada ya kuufungua mkutano wa Mawaziri wa Fedha wa Nchi hizo 18 uliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar. 
Imetayarishwa na Othmanmapara.Blogspot.
Zanzinews.com.

Tuesday, May 09, 2017

VANITY BIG BOOTY OBSESSION


'This size was not my goal': Vanity said after the illegal injections gave her an infection which meant she had to her bottom even bigger with silicone implants so it didn't look lumpy
'This size was not my goal': Vanity said after the illegal injections gave her an infection which meant she had to her bottom even bigger with silicone implants so it didn't look lumpy
'This size was not my goal': Vanity said the illegal injections gave her an infection which meant she had to have silicone implants so her bottom didn't look lumpy

Vanity admitted it had become an obsession as she felt she had to compete against other women in her job as a dancer.
She said: 'When I heard about butt injections I thought it sounded stupid but after a year in that environment as a dancer, everyone was doing it, it wasn't such a foreign concept. I thought I might as well try it.

'Then it became a competition - not for men but against other women. So many of us were doing it because we wanted to better than the other person.'

Don't do it: Vanity wanted to share her story to warn other women against having illegal injections. She said she was lucky just to get an infection but other women have been killed as they didn't even know what they were being injected with

Vanity revealed each procedure involved at least nine injections in each cheek. She described how the injections felt like being struck by lightning and that they could often leak but this didn't deter her.
She admitted after the first treatment she didn't even know what she had been injected with. 'The first time I went for injections I didn't know what she used. She said it was soya bean oil but after doing my research, I don't believe her,' she said.
Vanity developed an infection as a result of the illegal injections but even this didn't make her stop having them. However, she explained it then meant she had to have silicone implants as the infection had left her bottom looking like 'a sack of oranges'.
She explained: 'It did become addictive but it got infected so I was left with lumps. So I had a choice, I could have a medium-sized lumpy butt or keep padding it with silicone to make it better. So it wasn't my goal to get this big but padding it with silicone is how this happened.'


SOURCE: MAILONLINE

BUNGENI LEO


 Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza jambo na Waziri wa mabo ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba katika  kikao cha Ishirini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 9, 2017.

Saturday, December 31, 2016

SIJAWAHI KUOMBA TALAKA - Leyla Rashid
MWIMBAJI nyota wa muziki wa taarab nchini, Leyla Rashid amesema kamwe hajawahi kuomba talaka kutoka kwa mumewe, Mzee Yusuph.

Aidha, Leyla amesema anajisikia upweke kuendelea kuimba nyimbo za muziki huo bila kuwa karibu na Mzee.

Leyla alisema hayo hivi karibuni, baada ya kudaiwa kuwepo na shinikizo la kumtaka aachane na muziki huo na kuungana na mumewe, ambaye kwa sasa ameacha kuimba taarab na kuwa alhaji.

Hivi karibuni, dada wa Mzee Yusuph, Khadija Yusuph, alikaririwa akisema kuwa, Layla anafanya makosa kuendelea kuimba taarab wakati mumewe ameachana na muziki huo.

Khadija alisema kwa mujibu wa sheria za dini ya kiislamu, mke anapaswa kufuata maelekezo ya mumewe iwapo amemtaka kuachana na fani ambayo yeye ameshaiacha.

Akijibu tuhuma hizo, Leyla alisema ni kweli amewahi kugombana na mumewe mara kadhaa, lakini kamwe hakuwahi kuomba talaka.

Pia, alisema sio kweli kwamba Mzee aliwahi kumtishia kwamba atampa talaka iwapo hataacha kuendelea kujihusisha na muziki huo.

"Hajaniambia acha, isipokuwa mimi mwenyewe najihisi kupungukiwa na kitu fulani.Nilizoea tunakuwa pamoja stejini, lakini sasa hayupo tena,"alisema Leyla.

Mwanamama huyo alisema hadi sasa hajaamua nini la kufanya, bali anamuachia Mungu na kusisitiza kuwa, ni kawaida kwa binadamu kutokosa la kusema, lakini hababaishwi na maneno yao.

"Kama mtu anasema, mwache aseme, mdomo ni mali yake," alisema mwanamama huyo mwenye watoto wawili na kusisitiza kuwa, muda wa kuachana na muziki huo ukifika, atafanya hivyo.

Leyla alisema mumewe hadi sasa hajaonyesha shaka yoyote kwake kwa uamuzi wake wa kuendelea na muziki huo, zaidi ya kumtia moyo na kufuatilia maendeleo yake kila anaposafiri mikoani kwa maonyesho mbalimbali.

TINY & TI ARE HERE TO STAY

It seemed like their love story was all over when Tameka 'Tiny Harris filed for divorce from her rapper husband Clifford 'T.I.' Harris earlier this month.
But now it seems like the reality show couple are on the road to reconciliation, with new reports that T.I. is working hard to convince his wife to end the proceedings. 
The 41-year-old former member of Xscape even spent Christmas with T.I., with whom he has three children.
And according to TMZ he is now trying to 'talk sense' into his wife of 15 years

Road to reconciliation? Clifford 'T.I.' Harris and Tameka 'Tiny' Cottle - pictured together in Atlanta in August - are on speaking terms according to a Wednesday report from TMZ

Road to reconciliation? Clifford 'T.I.' Harris and Tameka 'Tiny' Cottle - pictured together in Atlanta in August - are on speaking terms according to a Wednesday report from TMZ


According to TMZ's source, T.I. thinks 36-year-old Whatever You Like hitmaker Tiny rushed into taking steps to divorce, encouraged by 'jealous friends'.
And now time has passed he hopes to change her mind.  
Legal documents were filed by Tiny as part of a divorce filing at the Superior Court of Henry County in the state of Georgia on December 7.

Tough times: Tiny filed for divorce from T.I. in Georgia on December 7 according to court documents, as they are pictured together in LA in November 2015

Tough times: Tiny filed for divorce from T.I. in Georgia on December 7 according to court documents, as they are pictured together in LA in November 2015


While the two have yet to comment publicly on their divorce, they have been sharing pictures which hint at a warm relationship.
Over Christmas Tiny took to her Instagram to share an adorable video of T.I. watching over their nine-month-old daughter Heiress driving a new miniature car.
The toddler could be seen crashing into a bicycle before Live Your Life hitmaker jokingly pretended to be a police officer questioning her if she's been drinking in the holiday video.


Friday, November 11, 2016

TAASISI ya Kifedha ya Bayport Tanzania Yaadhimisha miaka 10


Wadau mbalimbali wakiwa kwenye hafla hiyo.


Ni furaha tupu katika maadhimisho hayo.


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angella Kairuki (kulia), Mjumbe wa Bodi ya Bayport Tanzania, Mama Anna Mkapa (katikati) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bayport Tanzania, John Mbaga, wakikata keki katika maadhimisho ya miaka 10 tangu kuanzishwa kwa Bayport Tanzania yaliyofanyika Hyatt Regency Hotel Dar es Salaam juzi.


Mjumbe wa Bodi ya Bayport Tanzania Mama Anna Mkapa (kushoto), na Mwenyekiti wa bodi ya Bayport Tanzania Dkt. Ken Kwaku (katikati) na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ali Hapi wakifurahia jambo katika hafla hiyo.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angella Kairuki akihutubia katika hafla ya kutimiza miaka 10 ya Taasisi ya kifedha ya Bayport Tanzania iliyofanyika Hyatt Regency Hotel jijini Dar es Salaam juzi.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bayport Tanzania, John Mbaga akizungumza kwenye hafla hiyo.
Hafla ikiendelea.
Keki maalumu ya hafla hiyo.
Keki ikiliwa.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bayport Tanzania, John Mbaga (kushoto), akimlisha keki Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ali Hapi.Na Dotto Mwaibale

TAASISI ya Kifedha ya Bayport Tanzania juzi iliadhimisha miaka 10 tangu kuanzishwa kwake na kuelezea mafanikio makubwa iliyopata ndani ya kipindi hicho.

Akizungumza katika hafla hiyo iliyofanyika Hyatt Regency Hotel jijini Dar es Salaam juzi, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bayport Tanzania, John Mbaga alisema ndani ya miaka 10 wameweza kupiga hatua kubwa kwa kuwafikia wananchi wengi.

"Tumepiga hatua kubwa kwa kuwafikia wananchi wengi ambao wamenufaika na huduma zetu" alisema Mbaga.Alisema kupitia taasisi hiyo wananchi wameweza kuanzisha biashara na kujenga nyumba ikiwa ni pamoja na kusomesha watoto.

Mgeni rasmi wa hafla hiyo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angella Kairuki alisema Serikali inaipongeza taasisi hiyo kwa huduma za mikopo inayotoa kwa wananchi hivyo kusaidia kuinua pato la taifa na mtu mmoja mmoja.

"Changamoto kubwa iliyopo ambayo mnapaswa kuiangalia ni riba kubwa katika mikopo yenu jaribuni kuliangalia jambo hilo kwa karibu" alisema Kairuki.