.

.

.

.

Wednesday, June 10, 2009

MAMA JITTO RAM


Msajiri Mstaafu wa Baraza la Wauguzi na Wakunga na muuguzi wa siku nyingi Jitto Ram akizungumza mbele ya waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo kuhusu Mfuko wa Uadilifu, Uwajibikaji na Uwazi kulipatia Baraza hilo kiasi cha shilingi Milioni 223,775000 kwa ajili ya kutoa mafunzo mbalimbali ili kuboresha huduma ya Afya nchini na uwajibikaji kazini . kulia ni Meneja Mfuko Uadilifu ,Uwajibikaji na Uwazi Frida Onesmo.

No comments:

Post a Comment