Wanaodaiwa kuwa watoto wa vigogo wanaofanya kazi Benki Kuu ya Tanzania (BoT) wakiwa wamejifunika sura kuogopa kupigwa picha walipokuwa wakipelekwa mahabusu baada ya kusomewa mashitaka ya kughushi vyeti vya sekondari, jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam. (Picha na Grace Michael)
No comments:
Post a Comment