.

.

.

.

Friday, October 24, 2008

FULL KUJIRAMBA


Michuzi Jr.(pili shoto)akiwa amepozi na wasanii wamuziki wa kizazi kipya wakibadilishana mawazo ya hapa na pale likiwemo suala zima la muelekeo wa muziki wa bongofleva kwa ujumla.Toka kulia ni Joe Makini a.k.a Mwamba wa kaskazini,Shaaban Katwila a.k.a Q-Chila,michuzi jr. na Juma Mohamed a.k.a J Mo.Wasanii wote hao na wengineo Leo wanatia timu ndani ya Moro kwenye tamasha la Fiesta jirambe litakalofanyika Mamba Club ambapo kiingilio kimepangwa kuwa buku tano kwa kila kichwa na baada hapo ngoma inahamia Dodoma kwa jumamosi na jumapili,yaaani full kujiramba babake.

No comments:

Post a Comment