Mashindano ya Miss Earth yatafikia kilele tarehe 9 November huko Manila, Phillipines ambapo warembo 93 watawania taji la Miss Earth na mataji mengine. Miss Earth pia ina mashindano mengine madogo yanayomwezesha mshiriki kujizolea umaarufu na zawadi ndogondogo kwa mfano kuwania taji la vazi la ufukweni, kipaji, nguo ya jioni nk.Picha ya juu ni mwanadada MIRIAM ODEMBA anayeiwakilisha TANZANIA
No comments:
Post a Comment