.JPG)
Filamu mpya iitwayo
From China with Love inatarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni Bongo. Filamu hiyo imechezwa nchini China na Bongo ikiwashirikisha Ray na Mfilipino Aileen Fransisco aishie China,
Jokate(Pichani), Johari,Suzan Lewis 'Natasha' na mastaa wengine kibao
.JPG)
Pichani JB akiwa na Mtangazaji wa wa Star TV, Sauda Mwilima kwenye uzinduzi wa filamu mpya ya kibongo "WITH LOVE FROM CHINA"
No comments:
Post a Comment