.

.

.

.

Friday, December 19, 2008

HERRY MAKANGE AFARIKI KATIKA AJALI


Herry Makange(picani juu) Aliyekuwa mpiga picha wa Channel Ten amefariki juzi kwa ajali ya pikipiki ilipogongana na basi dogo kwenye njia panda ya Kunduchi na Tegeta.Leo mchana Oysterbay kwa wakwe zake mwili wake uliagwa na maelfu ya watu wakiwemo wafanyakazi wenzake ,ndugu ,jamaa na marafiki.
Anatazamiwa kuzikwa KIBAHA kesho anakoishi mama yake Mzazi.

No comments:

Post a Comment