Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa na Mkewe Salma Kikwete baada ya kutunukiwa Digrii ya" Phd ya Heshima" ya chuo hicho katika mahafali ya 25 ya hicho mjini Nairobi jana. Phd hiyo inatokana na jitihada zake za utatuzi wa migogoro kwa nchi za Afrika hasa mgogoro wa Kenya.
No comments:
Post a Comment