Gari la Mahabusu leo mchana liligonga kwa nyuma gari dogo aina ya Toyota Corola maeneo ya Kinondoni Manyanya jijini Dar, baada ya Corola hiyo kukata kona kwa ghafla kwa lengo la kuingia kituo cha mafuta cha Mwanamboka kilichopo eneo hilo na kusababisha magari yote kuingia mtaroni.
No comments:
Post a Comment