Baadhi ya washiriki wa Miss East Africa wakiwa mazoezini tayari kwa fainali zitakazofanyika kesho ,hapo wako katika vazi la ufukweni.
Mwakilishi wa Tanzania
Annete John kushoto akiwa na mratibu wa Miss EAC Burundi, Serge Nkurunzinza na mwakilishi mwingine wa Tanzania
Lynnete Rwakatare.
No comments:
Post a Comment