Kimsingi mkutano huo utahitimisha uchaguzi ambao umekuwa ukiendelea ndani ya chama hicho ambao nao unatajwa kuwa chanzo cha mgawanyiko wa dhahiri hasa baada ya kuwapo tayari mgawanyiko katika maeneo mengi katika ngazi za wilaya na mkoa.
Tayari CCM imekwisha kupata uongozi wake toka chini hadi ngazi ya mikoa unaoingia ndani ya Halmashauri Kuu (NEC). Unaosubiriwa kufahamika pamoja, ndio unaotarajiwa kukiendesha chama hicho kwa kipindi cha miaka mitano hadi mwaka 2012 .Endelea..............................
No comments:
Post a Comment