
Ukipenda mwite Queen Bee au Big Momma aliyezaliwa huko Brooklyn, NY, Marekani.
Lil Kim anaweza akawashangaza watu wengi kwa kuwa na listi ndogo ya midume saba aliyowahi kujiachia nayo tofauti na anavyofikiriwa, hasa kutokana na tabia yake ilivyo, ya kupendelea kupiga pamba zinaonesha sehemu kubwa ya mwili wake au kupiga picha za kupamba majarida mbalimbali akiwa mtupu.Mpaka sasa staa huyo wa kike ameshajiachia na mastaa wa kiume saba ambao ni Scott Storch, marehemu Notorious B.I.G., Damian Hardy, Nelly, Ray-J, Jamie Foxx na Tracy Morgan ambaye kupitia mtandao wa intaneti haijawekwa wazi kama bado anaendelea naye au naye wameshazinguana.
No comments:
Post a Comment