Mwenyekiti mtendaji wa kampuni ya CMC Automobile Ltd Bw.Abdull Haji akikabidhi funguo za gari aina ya Landrover lenye thamani ya shilingi milioni 50 kwa katibu mkuu wizara ya mambo ya ndani ya nchi Bw. Patrick Rutabanzibwa ili kusaidia juhudi za jeshi la polisi nchini katika kupambana na uhalifu katikati ni mkuu wa mkoa wa Dar es alaam Abass Kandoro na kulia ni mkuu wa jeshi la polisi nchini IGP Said Mwema makabidhiano yamefanyika katika makao makuu ya wizara hiyo Dsm Jana.
Hiyo gari itatumika kwenda kutombea mademu tu na huyo anaetoa hiyyo zawadi inawezekana ni fisadi nambari wani they need to check his background record inawezekana kuna some strings attached!!!
ReplyDeletemkereketwa