.

.

.

.

Monday, December 15, 2008

TAIFA STARS KUWEPO IVORY COAST MWAKANI

Nurdin Bakari muuaji wa goli la Pili la Taifa Stars lililoteketeza kabisa ndoto za Timu ya Sudan kusonga mbele katika fainali za CHAN zitakazofanyika nchini Ivory Coast mwakani akiwa ametulia na kujifunika kitambaa kikubwa chenye rangi ya kijani katika viwanja vya kilimanjaro Kempiski leo.

No comments:

Post a Comment