.

.

.

.

Wednesday, January 28, 2009

MwAmViTa MaKaMbA

Mkuu wa kitengo cha mahusiano na vodacom Foundation Mwamvita Makamba(kulia) akisikiliza hotuba ya Mh. Rais wa visiwa vya Zanzibar Amani Abedi Karume wakati wa uzinduzi wa mkutano wa Young African Leadership,kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom ilidhamini mkutano huo.

No comments:

Post a Comment