.

.

.

.

Thursday, January 29, 2009

STEVE NYERERE AMFURAHISHA RAIS JK

Viongozi mbalimbali akiwepo Rais Jakaya Kikwete wakifurahi na vichekesho vya kuigiza sauti za watu mashuhuri kutoka kwa Steve Nyerere wakati wa chakula maalum cha madiwani kwa ajili ya kumpongeza Rais kwa mafanikio ya Uongozi wake.
Kikumbi Mwanza Mpango "King KiKi" akiwa amemshikia kipaza sauti Steve wakati akimwaga Vichekesho vyake .

1 comment:

  1. Aise kwa kuiga sauti za wati si mchezo steve upo juu!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete