.

.

.

.

Friday, January 09, 2009

WILAYANI MWANGA

Hivi ni viduka vilivyopo njia panda ya Mwanga kwenda Ugweno na Usangi vinataraji kuvunjwa karibuni kupisha upanuzi wa Barabara pale Mwanga. Kuanzia pale Two in One Bar na kuendelea.

No comments:

Post a Comment