.

.

.

.

Sunday, February 08, 2009

CCM YAFIKISHA MIAKA 32

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia wananchi wa mkoa wa Shinyanga muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa michezo wa Kambarage amabapo alihutubia katika kilele cha sherehe za miaka 32 ya kuzaliwa CCM.

No comments:

Post a Comment