.

.

.

.

Tuesday, February 10, 2009

KIPENZI CHA MAALIBINO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Maalbino Tanzania, leo kwenye Jengo la Utawala la Bunge Mjini Dodoma. Mwenye kilemba chekundu ni Mbunge wa Kuteuliwa Al- Shaimaa Qwegyir.

No comments:

Post a Comment