.

.

.

.

Wednesday, February 11, 2009

KIZAZI CHA ADAM NA HAWA UBIN WETU UMEKUWA WANASHETANI

Dunia ya watu wabaya. Hatushangai kusikia kwamba HAYAWANI aliyemzalisha mtoto huyu ni baba mwenye watoto wake shuleni. Kile ambacho asingependa kutendewa na wengine, yeye amemtendea mtoto huyu. Fikiria alivyoingiwa na ibilisi . MUNGU ana wengi na mengi ya kusamehe. Kazi yake MUNGU hatuiwezi. Na huruma yake haina mfano. Kama wanadamu tukiulizwa afanywe nini aliyetenda hayo utayaogopa majibu yake.


No comments:

Post a Comment