
Kauli ya Rostam Aziz kuwa
Dk Harrison Mwakyembe ameanza ubaguzi kwenye aliyoitoa
Mwananchi imepokelwa kwa hisia tofauti, wengi waliojadili suala hilo kwenye
Jamii Forum wanashangaa nani mbaguzi kati ya hao wawili...
endelea na mjadala hapa. Hayo yote tisa, kumi ni kwamba malumbano yao yamemkera Spika wa Bunge,
Samuel Sitta ambaye amesema
HAPA kuwa atawaifa kwenye Kamati ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge. Sekeseke halikuishia hapo, Mwenyekiti wa Kamati hiyo,
Anne Kilango amesema kupitia
Nipashe malumbano yao ni makovu ya kashfa ya Richmond.
No comments:
Post a Comment