Shindano kumtafuta mrembo wa Miss Pasaka llilioandaliwa na Kampuni ya Baker Pesa kwa uthamini wa Usher Family katika ukumbi wa Sun Diego Tandika limekuwa la kufaana sana kutokana washiriki wa shindano hilo kuwa na mvuto. Katika shindano hilo Rehema Juma aliibuka kuwa mshindi wa kwanza na kujinyakulia seti ya TV na Deki. Esther Frank alikuwa wapili na kujishindia dressing table. Nafasi nafasi ya tatu ilikwenda kwa Rehema Salumu ambaye alijipatia zawadi ya Simu aina ya Nokia 3600.
No comments:
Post a Comment