.

.

.

.

Wednesday, April 22, 2009

MKUU WA MAJESHI ATUTEMBELEA UKEREWE

Katika picha, ni Mheshimiwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mheshimiwa Mwanaidi. S. Maajar {Kushoto} na Mkuu wa Majeshi Tanzania, Generali DA. Mwamunyange. Nyuma ya Picha, kutoka kushoto ni Capt. CA Ng’habi, Col. P.Mrope, Bwana David Nginilla, BG. PI Mella, Bwana Kiondo, Dada Caroline Chipeta, Bwana, Idrissa Zahran, BG. KG. Msemwa, Bwana Sylvester Ambokile, LT. AP Mutta, na Bwana Othman Mashanga.



Mkuu wa Majeshi Tanzania, Generali D.A. Mwamunyange, akiongozana na baadhi ya wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama,jana alitembelea Ubalozi wa Tanzania-London na kukaribishwa na kupokelewa na Mwenyeji wake Mheshimiwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mama Mwanaidi. S. Maajar, Mwambata wa Jeshi la Tanzania hapa Ubalozini, Col. P. Mrope na maofisa wengine wa Ubalozi.

No comments:

Post a Comment