Che mundugwao na mwenzie wakifurahia baada ya kutangazwa kwamba 'deladela' ni albamu bora ya muziki asilia.
Ma Mc's Mahiri Jokate Muhegelo pamoja na mtangazaji kutoka Clouds Fm Ruben Ndege aka Ncha kali wakiongoza vilivyo kazi nzima ya Kilimanjaro Music Awards
TOP in Dar TID akiwapagawisha mashabiki wakati alipofanya vitu vya kukata na shoka huku mashabiki wakionekana wenye furaha.
Wabunifu Khadija Mwanamboka na Ally Remtullah wakiwa na Nancy Sumari kati aliyewahi kuwa Miss Tanzania.
John Muhina kushoto ambaye ndiyo mwenyekiti wa Kili Music Award akiwa John Dilinga mmoja wa wajumbe wa Tuzo hizo
Mkurugenzi wa kamati ya Miss Tanzania Hashim Lundenga akiingia katika ukumbi wa Diamond Jubilee akiwa ameongozana na meneja uhusiano wa Benki ya Starndard Chartered Hoyce Temu na wageni wengine
Nameless kutoka Kenya pamoja na kupata tuzo naye aligawa zawadi ya Burudani kwa watanzania mashabiki wake.
Ssebo wa eatv (kulia) na wasanii ay, kundi la blue 3, nameless pamoja na dj bush baby.
Chid Benz akiwa ameshikilia Tuzo yake aliyoshinda kama msanii bora wa kiume mara baada ya kukabidhiwa na mwanamuziki Chingy kutoka Marekani aliyekuwepo kutumbuiza pia .
mbunge wa kinondoni mh. Iddi Azzan (shoto) katika meza ya Twanga Pepeta ambapo kuna mwenyekiti wa african stars entertainment wamiliki wa twanga, Msiilwa Baraka, Asha Baraka na Sauda Kilumanga
kiongozi wa vibration .
kiongozi wa vibration .
Mzee Yusuf (shoto) akipokea tuzo ya albamu bora ya taarab (VIP) alinyakua pia mwimbo bora wa taarabu kwa kibao hicho Hicho Hicho.
ZAIDI BOFYA www.worldhotstars.blogspot.com
No comments:
Post a Comment