.

.

.

.

Thursday, April 09, 2009

WAKE ZA MAWAZIRI WAKUU TANZANIA


Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda (kulia) na wake wa Mawaziri Wakuu Wastaafu wakimsikiliza mtoto wa Richard Warioba wa Kituo cha kulea watoto yatima cha Child In the Sun cha Mbezi Makabe jijini Dar es salaam. Kutoka kushoto ni Mama Hasina Kawawa(MKE WA MH. RASHID MFAUME KAWAWA), Mama Evelyne Warioba(MKE WA JOSEPH SINDE WARIOBA) na Mama Regina Lowassa(MKE WA EDWARD LOWASSA). Wake wa Viongozi hao walitoa zawadi ya Pasaka ya Vyakula na vitumbalimbali kwa watoto wa kituo hicho na wale wa Kituo cha Da-ul argam cha Tandika jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment