.

.

.

.

Monday, April 13, 2009

WOLE SOYINKA

Mhadhiri wa Kimataifa kutoka Nigeria Prof.Wole Soyinka akiongozana na Makamu wa Chuo Kukuu cha Dar es Saalaam Prof.Rwekaza Mukandara kwenye uzinduzi wa wiki ya Tamasha la Kuenzi fikra za Mwalimu Nyerere katika ukumbi wa Nkurumah Dar.

No comments:

Post a Comment