JK AJIANDIKISHA KTK DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akijiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa viongozi wa ngazi ya mtaa katika kituo cha Shule ya Msingi Bunge,kilichopo jijini Dar es Salaam .
No comments:
Post a Comment