.

.

.

.

Friday, October 23, 2009

MISS LAKE ZONE & MISS TANZANIA AREJEA MWANZA

Vodacom Miss Tanzania Miriam Gerald,akiwapungia mkono wananchi wa jiji la Mwanza walipompokea jana jijini humo, aliyesimama kushoto ni Mwandaaji wa Vodacom Miss Mwanza Flora Lauwo ambaye pia ndiyo mratibu wa mapokezi hayo kupitia kampuni yake ya Flora Talent Promotions. Miriam anatarajiwa kufanyiwa sherehe kubwa leo jioni itakayofanyika katika hoteli ya Nyumbani Hotel iliopo ndani ya jengo la NSSF,jijini Mwanza katika kumkaribisha rasmi ,aidha katika hafla hiyo ya aina yake mgeni wa heshima atakuwa ni mkuu wa Mkoa wa Mwanza Abbas Kandoro.

No comments:

Post a Comment