.

.

.

.

Tuesday, November 17, 2009

FIESTA ONE LOVE NDANI YA ZENJ (NGOME KUU)

Wazee wa samaki hao ni balaa moto wa kuotea mbali uliza wazenj watakupa habari zao.
Alikiba kama kawaida akilishambulia jukwaa sijui lini atakuja Ukerewe mapromota changamkeni basi jamaa anasubiliwa kwa hamu.

Sehemu ya umati uliokuwepo ngome kuu.


No comments:

Post a Comment