MAREHEMU SWETU FUNDIKIRA AMBAYE ALIFARIKI JANA ASUBUHI KATIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI BAADA YA KUPIGWA NA KUJERUHIWA VIBAYA NA WATU AMBAO NI WANAJESHI ANATALAJIWA KUZIKWA WAKATI WOWOTE MARA BAADA YA POLISI KUKAMILISHA UCHUNGUZI WA KESI HII YA MAUAJI NA KUKABIDHI MWILI KWA NDUGU WA MAREHEMU.MSIBA UKO NYUMBANI KWA BABA WA MAREHEMU NYUMA YA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI WA KINONDONI
MWENYEZI MUNGU AIPUMUZISHE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI
Habari ya kusikitisha hii
ReplyDelete