.

.

.

.

Monday, March 01, 2010

MASHUJAA MUSIC BAND YAANZA KWA KISHINDO

Mama Bambucha
Elystone Angai ambaye ni kiongozi wa bendi ya Mashujaa Music Band (kulia) akicharaza gitaa la solo jukwaani wakati bendi hiyo ilipofanya onyesho lake la kwanza kwenye vijiji vya makumbusho kwa mafanikio makubwa huku ikifanikiwa kuteka hisia za mashabiki waliohudhuria kwenye onyesho hili, kutokana na wanamuziki wa bendi hiyo kufanya mambo makubwa katika kila idara hivyo kulimudu vyema jukwaa la vijiji vya Makumbusho ambalo awali bendi ya FM academia ilikuwa ikifanya onyesho lao hapo kila jumamosi lakini sasa ni wakati mwingine na ni zamu ya wana Mashujaa Music Band, hebu mdau watembelee kila jumamosi uone shughuli yao pevu.

No comments:

Post a Comment