Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika hoteli ya Jumeirah Essex House jijini New York, Marekani, tayari kujiunga na viongozi wenzie wa dunia katika mkutano wa 66 wa Umoja wa Mataifa unaoanza leo Jumatatu makao makuu ya a Mataifa
Rais Kikwete akipokewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernard Membe hotelini hapo.
Rais Kikwete akisalimiana na Afisa Habari katika ubalozi wa Tanzania Umnoja wa Mataifa, New York Bi Maura Mwingira
Picha zote na mawasiliano ikulu
No comments:
Post a Comment