Mwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012Asia Idarous akiwa katika picha ya pamoja na mume wake Bw. Wa Hamsini katika onyesho hilo lililofanyika jana usiku kwenye hoteli ya Serena Dar es salaam jijini Dar es salaam, onyesho hilo pia limetumika kuchangisha fedha kwa ajili ya kujenga kituo cha kuhudumia watu walioathirika na madawa ya Kulevya hapa nchini.kitakachojengwa huko Kikale, Rufiji mkoani Pwani
Mmoja wa wabunifu akipita jukwaani na mwanamitindo aliyeonyesha vazi alilobuni.
Mkurugenzi wa Benchmark Production Ritah Paulsen akiwa katika pozi na kivazi chake.
Mshereheshaji wa onyesho hilo akitoa ratiba ya onyesho hilo siku huu katika hoteli ya Serena Dar es salaam.
Msanii Chid Benz kulia na rafiki yake Koba wakiwa katika onyesho hilo.
Wapenzi mbalimbali wa masuala ya mitindo wakiwa katika onyesho hilo.
Kutoka kulia ni Mange Kimambi, Kisa na Loveness
Jaquiline Patrick na mrembo Lisa Jensen wakipozi kwa picha katika onyesho hilo.
No comments:
Post a Comment